Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, kwa miezi 6 Mama amekopa Trilioni 10, Ndugai yuko sahihi, spidi ya kukopa ni kubwa sana.

Wewe sho-ga uwe unasoma taarifa ya kila mwezi ya benki kuu inayotoa mwenendo wa deni la taifa.
Ata anafahamu sasa kua BoT hua wanatoa hio taarifa..

Unahitaji kua mnafiki wakiwango chajuu ndo uweze kuashabikia 36T + 10T ndan ya 6 years.
 
Hujui kusoma, au? Ndiyo maana tukasema miradi ya JPM inaonekana. Bi Mkubwa mradi wake mkubwa ni UVIKO-19 labda na ile filamu yake ya Mzungu.
Hivi wewe unayejua kusoma unaona umechambua matumizi ya mikopo hiyo kweli? Sisi tusiojua kusoma tunataka kusikia jinsi gani mikopo hiyo ilivyotumika na siyo majibu ya jumla jumla ya kututajia majina ya miradi. Hiyo haitoshi. Mwenzetu msomi tuambie kuwa SGR ilitumika Sh. ...., Nyerere Dam Sh. ..., UVIKo-19 Sh. .... n.k. Kinyume chake ni ubabaishaji tu.
 
Ndiyo maana tukasema kwamba asiyejua kusoma, basi atazame lipicha ataelewa. Tembelea pale Ubungo & TAZARA. Better yet, sikiliza na kutazama ile single famous ya Harmonize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…