Ishu ya experince for employment ni tatizo maana hii inamfanya graduate asipate kazi kabisa mara tu amalizapo chuo! Kwani hawa wenye uzoevu walipateje ajira? Yeah,zipo kazi ambazo ni kweli exp ni mhimu (e.g Director) but nyingine ni complication tu za waajiri....kwa graduates jamani kuna baadhi ya vacancies,just fields/practicals alizofanya m/funzi akiwa chuo ni experince tosha ya kupata/kufanya job. Ni kweli Serikali iyabane haya makapuni ili yapunguze urasimu/ukiritimba ktk kuajiri freshers from colleges!
Yeah,ila kuna makampuni yanajitaidi japo ni machache sana,,,,,,mimi ni m1 kati ya tulioajiriwa kwa experince ya fields/practicals!