Hautapata gari iliokua kwenye mint condition, unaweza lipia iyo nikakupa gari we ukaacha card,ukalipa iliyobaki taratibu,hata laki kila mwezi,pindi utakavyomaliza ndo utachukua card yako,ikiwa ni pamoja na kufanya transfer
HellowHello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usidanganywe kwa hiyo mil 6 yako utalia ukiagiza! hakuna nyota utaacha kuona! kama huamini agiza!
usidanganywe kwa hiyo mil 6 yako utalia ukiagiza! hakuna nyota utaacha kuona! kama huamini agiza!
Au niongee na Mr wangu,akupe brevis,no D,engine capacity 2500cc.colour maroon,imported from JapanIpo 6 kamili haizid zaid ya hapo mkuu tunaenda na bajet
Kama hela ya mafuta sio issue kwa hela hio unapata Brevis,GX100/110 nzuri sanaHello wadau wa JF.... km kuna mwenye uzoefu na wauza magari kwa mwanza ningependa tujuzane hapa..... Nahitaji gari used iliyo katika hali nzuri kabisa kwa mil.6 , je naweza pata gari aina gani kwa wazoefu wa hizi mambo....
Kwahiyo pesa unapata gari nzuri na ikiwa kwenye hali nzuri endapo hutokuwa na papara, haraka na utafute taratibu tu madalali wasikuchanganye!!!
Ukijitahidi Lita 1 km 7Brevis inabugia mafuta kwa uwiano upi mkuu?
Ipo 6 kamili haizid zaid ya hapo mkuu tunaenda na bajet
Weka picha ya carina ya mil4 mkuuHiyo pesa ni ndefu sana njoo nikupe Offer kwa 4m Carina