Kwa milioni 2 kama kianzio naweza kupata bajaji ya mkopo

Kwa milioni 2 kama kianzio naweza kupata bajaji ya mkopo

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2022
Posts
526
Reaction score
1,222
Habari?
Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi?
Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu.
Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie.
Natanguliza Shukurani.
 
Yaah inawezekana nenda kampuni ya Bajaj iliyo karibu na wewe peleka wazo lako watakukopesha kwa mkataba huku ukianza na kianzio cha 2m yako kama dhamana.
Na mkataba wao mara nyingi ni kuda gani?? Na vipi jumla ya marehesho inaweza kuwa kama kiasi gani?
 
Used inaweza fika kiasi gani mkuu?
Screenshot_20240920-083236.png
Screenshot_20240920-083222.png
Screenshot_20240920-083210.png
Screenshot_20240920-083201.png
 
Back
Top Bottom