MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Na mkataba wao mara nyingi ni kuda gani?? Na vipi jumla ya marehesho inaweza kuwa kama kiasi gani?Yaah inawezekana nenda kampuni ya Bajaj iliyo karibu na wewe peleka wazo lako watakukopesha kwa mkataba huku ukianza na kianzio cha 2m yako kama dhamana.
Used inaweza fika kiasi gani mkuu?Bajaji ya Mkopo sishauri. Borw upambane ulipopata iyo M2 hadi ifike pesa ya kununua used au mpya.
Kila la heriNgoja nidundulize tena