zabron k
JF-Expert Member
- Nov 11, 2015
- 943
- 1,107
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano.
Kuna jamaa nilikuwa namdai kanilipa 4m juzi, Sasa nafikiria kujenga nyumba ya biashara (chumba na choo chake) vyumba 3 pamoja na fremu 2 kwenye eneo la 20×30. Kwa jinsi nilivyo nahisi hii pesa itapotea hivyo ni Bora niiweke huko.
Swali. Je nitatoboa kweli? Au nikale bia na mbuzi choma?
Kiwanja kipo Tunduru mjini