johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Maendeleo hayana vyama!