johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu, akili inaanza kuwarudi eeh! Ukiuwa kwa upanga nawe utauwawa kwa upanga. Ama pia kuna msemo unatuambia mkuki kwa nguruwe, ila kwa binadamu ......Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Maendeleo hayana vyama!
Hii nchi ingeendelea wakati wa utawala wa Kikwete wakati ule Lowassa akiwa PM. Kwa muda mfupi mengi yalifanyika yakiigusa jamii hata kwa mtu mmoja mmoja. Sijui hata ikawaje kila kitu kikavurugika.Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Hapana bwana, Mbowe ni mtu mwerevu sana na akiwa rais atamsamehe jiwe kila kitu. Hata Lissu naye atasamehe kila kitu. Jiwe hana haja ya kuwa na hofu yoyote atasamehewa yote haya kama vile kuwapiga na kujaribu kuwaua na kuwapoteza wanasiasa mbalimbali kwa kutumia vijana wake wa kisu ****, kuwaonea watu, kuwatukana na hata kuua matajiri fulani fulani ambao anafikiri wanadhamini upinzani. Atasamehewa yote hayo bwana, watanzania watu wazuri sana hawana kinyongo na mtu.Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Maendeleo hayana vyama!
Aisee, kumbe kuna waliosababisha hiyo misukosuko na wanaogopa mkuki usiwageukie!Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Maendeleo hayana vyama!
Dikteta mkubwa kabisa huyy mh. Bado uhuni.Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe unajua kuwa hamumtendei haki? Mnafanya mchezo wa kitoto Sana wa kumchokoza mbwa wakati wa kwenda ilihali utarudi kwa njia hiyohiyo na huku mbwa akibaki ulikomuacha! Fanyeni na tendeni haki bila kumkandamiza mtu! Ona Sasa mlivyojawa na yoga Hadi mnaanza kuona maluweluwe na mitizamo hasi juu ya mliyemtenda! Usihofu, Mbowe ana Mungu anayemwabudu ambaye amemfundisha kusamehe Saba Mara sabini!Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?
Kisasi siyo lazima uwe ulitendewa ubaya bali hata kutenda kwa niaba ya wengine.
Wananchi tuwapime vizuri hawa wagombea wetu na falsafa wanazoingia nazo kwenye Uchaguzi maana kwa maendeleo tuliyopata ndani ya miaka hii 5 tulipaswa kufanya Uchaguzi wa wabunge na madiwani pekee na Rais Magufuli apite bila kupingwa.
Maendeleo hayana vyama!
Kumbe mnajua mnayowafanyia wapinzani ni Udhalimu bali mnajitoa akili tu.Nawaza tu huyu Mbowe aliyetia nia ya kuwa Rais wa Tanzania kwa misukosuko hii anayopitia hatakuwa mtu mwenye visasi kweli?