mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,682
- 10,801
Wakuu kuna fremu zinapangishwa Morogoro.
Ziko 5 mahali pamoja - ingawa moja imeishachukuliwa na imeanza biashara tayari. Fremu ziko maeneo ya B-Z hotel. Actually, ziko eneo kati ya B-Z na Kingston. Ni ideal kwa biashara ya saluni (hasa ya kina dada), duka la vyakula, duka la madawa ya binadamu na biashara ya stationery/internet cafe.
Wateja wakubwa (Potential customers) ni wanafunzi wa Jordan University na Chuo cha Uandishi wa Habari ambao wamepanga kwa wingi maeneo hayo. Kizuri zaidi ni kwamba kwenye fremu pia anaendelea na ujenzi wa hostel ktk eneo hilo hilo, yaani fremu ziko mbele halafu nyuma yake ndo kutakuwa na hiyo hostel ya wanafunzi. Hivyo kutakuwa na wanafunzi wanaoishi hapo hapo ambao wanaweza kuwa wateja wazuri tu wa biashara yako. Vile vile fremu ziko kwenye makazi ya watu ambao kimsingi nao pia ni wateja wa biashara hizo.
Kila fremu inapangishwa kwa sh 50,000/= (elfu hamsini) kwa mwezi. Malipo ni kwa miezi 6 au mwaka kulingana na mteja mwenyewe anavyoweza.
Mwenye kuhitaji ani-PM nimuunganishe na msimamizi wa hizo fremu ili akaziangalie.