Kwa Mkapa jana yalijaa mapapai yaliyoanza kuiva

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Ninavowaangalia hawa jamaa ni kama beseni kubwa lililojaa mapapai.Wakati wengine wanajiandaa kwa vikombe,wao wanatafuta kiki juu ya maiti au kama imefufuka basi ni msukule waliomuokota baada ya kutimuliwa kazi.

Raha ya mpira ni matokeo.Huwezi kila mwaka kusema unatafuta muunganiko na mkianza sare anaoga matusi Karia.

Kinachonifanya niamini kuwa humo uwanjani yalijaa mapapai ni jinsi wanavyofurahia kufumgwa goli 2 tena na mtu anaitwa Kapumbu.Yaani madogo tu!Je ukikutana na Kapumbu - Ka shughuli yake itakuwaje?

Sawa endeleeni kutengeneza muunganiko huku mkimtumia yule mzee wenu kama mbadala kwenye mechi za Simba.Ila kumbukeni aliyewafanikisha mkawa mnapata hata hizo sare sasa hivi ni msukule wenu.Nani atawaambia siri tena?Nani atauza mechi tena?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…