Kwa Mkazi aliyeko KIBAIGWA-mahali maarufu palipo Soko la Kimataifa la Mahindi

Kwa Mkazi aliyeko KIBAIGWA-mahali maarufu palipo Soko la Kimataifa la Mahindi

10Shoka14

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
305
Reaction score
122
Natamani kupata habari za soko kwa ajili ya bidhaa za nafaka kama vile Mchele,Maharagwe na jamii zake.
Natamani kujua pia upatikanaji wa vitu kama frame,gharama za pango na fursa zinazofanana na hizi.
Aksanteni
 
Back
Top Bottom