1 10Shoka14 JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 305 Reaction score 122 May 18, 2014 #1 Natamani kupata habari za soko kwa ajili ya bidhaa za nafaka kama vile Mchele,Maharagwe na jamii zake. Natamani kujua pia upatikanaji wa vitu kama frame,gharama za pango na fursa zinazofanana na hizi. Aksanteni
Natamani kupata habari za soko kwa ajili ya bidhaa za nafaka kama vile Mchele,Maharagwe na jamii zake. Natamani kujua pia upatikanaji wa vitu kama frame,gharama za pango na fursa zinazofanana na hizi. Aksanteni