Kwa Mkoa wa Dar es Salaam na ninayoyashuhudia 24/7 nina uhakika itakuwa ni Maradufu ya Mkoa wa Shinyanga

Kwa Mkoa wa Dar es Salaam na ninayoyashuhudia 24/7 nina uhakika itakuwa ni Maradufu ya Mkoa wa Shinyanga

Mzukulu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2020
Posts
1,401
Reaction score
2,641
Mratibu wa Mtandao wa Elimu Tanzania, Ochola Wayoga, amedai watoto 102 wenye umri wa miaka 13 mpaka 17 wa shule za msingi na sekondari katika Mkoa wa Shinyanga, wamepata ujauzito wakati shule hizo zilipokuwa zimefungwa kutokana na ugonjwa wa corona.

Chanzo: Nipashe Habari

Kuna Shule Moja ya Msingi maarufu sana Wilaya ya Kinondoni hii idadi ya Wanafunzi watakaokutwa na Mimba ikiwa si 500 mpaka 700 basi na Mimi Mzukulu najiuzuru rasmi Kuishangilia Timu ya Taifa ya Tanzania ( Taifa Stars ), Simba Sports Club pamoja na Liverpool FC yangu na sasa kwa mara ya Kwanza nitaanza Kuishabikia Yanga FC. Wazazi wenye Watoto hao nawapeni Pole mno.
 
Mtoto wa Dar usimlinganishe na mtoto wa Shinyanga.Wa Shinyanga anaweza kuanza kutembea na mwanaume asubuhi na mimba akaidaka jioni ila wa Dar anaweza kutembea na wanaume watatu kwa miezi kadhaa na mimba hakuna! Wanatricks nyingi za kuzuia ujauzito.
Mimi nahisi Dar inashika mkia kwa mimba za utotoni japo kiuhalisia ilifaa iongoze.
 
Back
Top Bottom