Asante kwa mawazo, noted !!Aende Moro vijijini huko mkuyuni...etc..akalime mpunga na wasukuma na ufuta..usije mjini...walimu wengi wa mjini esp wa secondary wameleralx hatari[emoji14][emoji14]! Kukopa na wao wao nakukopa[emoji14][emoji14]!( Msinipopoe huo ndo ukweli...
Walimu wa shule za msingi wengi ni wachakarikaji balaa Ila secondary sijui wanajikuta matawii
Ni kweli now days ni watu wachache sana unaeza mshirikisha mipango yako asikuangushe[emoji848]Umeongea kitu kikubwa sana![emoji848][emoji848][emoji848] Kwa upande wangu i have already learnt from my past mistakes through pains and depressions,am no longer me!
Asante,hebu ongezea nyama kidogo kuhusu uko Mvuha!!Morogoro vijijini (Mvuha).
Kuna kilimo cha mpunga pia wapo wanaolima ufuta na maeneo mengi ya kule yamekaliwa na wasukuma so kuna ufugaji pia Ila kwa kilimo panafaa zaidi.Asante,hebu ongezea nyama kidogo kuhusu uko Mvuha!!
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu huduma zingine za kijamii kama maji umeme afyaKuna kilimo cha mpunga pia wapo wanaolima ufuta na maeneo mengi ya kule yamekaliwa na wasukuma so kuna ufugaji pia Ila kwa kilimo panafaa zaidi.
Zahanati ipo, umeme upo kwenye suala la maji sina hakika nalo sana kutokana na muda niliokaa pale niliishi lodge maji nilipoyahitaji nilipata sasa sina hakika sana, Ila ni makao mapya ya wilaya kwa hiyo vitu vingi vipo kwenye hatua za kuendelea nadhani umenielewa mkuu.Vipi kuhusu huduma zingine za kijamii kama maji umeme afya
nk??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Karibu.
Unataka umeme shambani wa nini ?Vipi kuhusu huduma zingine za kijamii kama maji umeme afya
nk??
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nadhani hujanielewa , mshikaji wangu ni teachear so sehemu atayo hamia kwa vyovyote lazima kuwe na huduma za kijamii. Ikimbukwe yeye ni mtumishi wa serikali so masuala ya kilimo ni ziada tuu.Unataka umeme shambani wa nini ?
Unataka maji mashambani kwanini usichimbe kisima tu ?
Afya nakusupport
Huku hakufai hukuMorogoro vijijini (Mvuha).
Nilimshauri hivyo kutokana na rafiki zangu waliowekeza huko kwenye kilimo na wamefanikiwa, hata mbingu ni sehemu nzuri pia.Huku hakufai huku
Kwa ushauri wangu aende ifakara Kuna sehemu panaitwa mbingu pale hawezi jutia maisha Bei chee misosi yA kutosha pia mashamba na ufugaji inalipa Kuna njia ya treni na barabara kwaio biashara inaend po a kabisa wanalima mpunga ,cocoa na mazao yote
Ulanga kuzuri sana, ila mbali na barabara mbaya kuna adha ya usafiri, na ukiachana na hayo yote, wafugaji wa huko ni wasumbufu mno!Changamoto ya kujiandaa nayo huko ni wafugaji tu hasa wamasai.
BTW:Kwa nini wilaya ya Ulanga haizungumziwi sana hata kwenye media tofauti na wilaya zingine zote za Morogoro?
Hakuna fursa za kilimo huko kama kwingine au?