Kwa mkopo huu kuna kutoka kwenye biashara?

Mgumu04

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
1,940
Reaction score
1,055
Habari zenu wakuu!
Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi.

Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila sasa nilikuja kuchoka kwenye terms zao yani marejesho lazima yafanyike kila siku ukichukua matharani laki moja riba ni 20% kwahiyo kila siku lazima upeleke 2000.

Sasa mkopo kama huu mtu anayefanya tigo pesa au mpesa utamtoa mtu kweli?
Serikali hebu ingerahisisha mikopo kwa vijana tupigane kutafuta maisha.
 
Walengwa wa aina hiyo ya mikopo, na utaratibu huo wa marejesho ni kwa wafanya biashara ndogo ndogo kipato hakika kwa siku.

Mfano.
- Mama lishe
- Wauza maji/ ice cream/
- Wauza vitafunwa: Maandazi/ chapati/ etl

Ambapo kwake kupata rejesho la TZS 2,000 au zaidi kwa siku sio tatizo.

Tafuta asasi nyingine angalau wenye sharti la rejesho kwa kila wiki.
 
Habari zenu wakuu!
Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi.

Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila sasa nilikuja kuchoka kwenye terms zao yani marejesho lazima yafanyike kila siku ukichukua matharani laki moja riba ni 20% kwahiyo kila siku lazima upeleke 2000.

Sasa mkopo kama huu mtu anayefanya tigo pesa au mpesa utamtoa mtu kweli?
Serikali hebu ingerahisisha mikopo kwa vijana tupigane kutafuta maisha.
Tunza sehemu ya faida uipatayo ili uongeze kwenye mtaji hata kama itakuchukua muda mrefu

Usirudie tena kukopa kwenye Microfinance kwaajili ya biashara.

Kama utalazimika kukopa, basi Saccos na Vicoba sahihi ni chaguo bora zaidi.

Ukishindwa tena afadhali bank kama utaweza masharti yao.
 
acha kulialia ovyo kwan uliwafata au walikufata...be serious kidogo,hujalazimishwa kuchukua mkopo nje ya uwezo wako...
 
Tunza sehemu ya faida uipatayo ili uongeze kwenye mtaji hata kama itakuchukua muda mrefu

Usirudie tena kukopa kwenye Microfinance kwaajili ya biashara.

Kama utalazimika kukopa, basi Saccos na Vicoba sahihi ni chaguo bora zaidi.

Ukishindwa tena afadhali bank kama utaweza masharti yao.
microfinance zina shida gani?... si sawa na saccos tu?
 
Back
Top Bottom