Walengwa wa aina hiyo ya mikopo, na utaratibu huo wa marejesho ni kwa wafanya biashara ndogo ndogo kipato hakika kwa siku.Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila sasa nilikuja kuchoka kwenye terms zao yani marejesho lazima yafanyike kila siku ukichukua matharani laki moja riba ni 20% kwahiyo kila siku lazima upeleke 2000.
Tunza sehemu ya faida uipatayo ili uongeze kwenye mtaji hata kama itakuchukua muda mrefuHabari zenu wakuu!
Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi.
Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila sasa nilikuja kuchoka kwenye terms zao yani marejesho lazima yafanyike kila siku ukichukua matharani laki moja riba ni 20% kwahiyo kila siku lazima upeleke 2000.
Sasa mkopo kama huu mtu anayefanya tigo pesa au mpesa utamtoa mtu kweli?
Serikali hebu ingerahisisha mikopo kwa vijana tupigane kutafuta maisha.
acha kulialia ovyo kwan uliwafata au walikufata...be serious kidogo,hujalazimishwa kuchukua mkopo nje ya uwezo wako...Habari zenu wakuu!
Kuna siku nilipata wazo la kuongeza mtaji katika biashara yangu ikanibidi niende katika microfinance company moja hivi.
Baada ya kufika nikawaelezea kuwa nahitaji mkopo, ila sasa nilikuja kuchoka kwenye terms zao yani marejesho lazima yafanyike kila siku ukichukua matharani laki moja riba ni 20% kwahiyo kila siku lazima upeleke 2000.
Sasa mkopo kama huu mtu anayefanya tigo pesa au mpesa utamtoa mtu kweli?
Serikali hebu ingerahisisha mikopo kwa vijana tupigane kutafuta maisha.
microfinance zina shida gani?... si sawa na saccos tu?Tunza sehemu ya faida uipatayo ili uongeze kwenye mtaji hata kama itakuchukua muda mrefu
Usirudie tena kukopa kwenye Microfinance kwaajili ya biashara.
Kama utalazimika kukopa, basi Saccos na Vicoba sahihi ni chaguo bora zaidi.
Ukishindwa tena afadhali bank kama utaweza masharti yao.