Kwa mkopo wa chuo kikuu naweza kuufanyia biashara gani?

Mweuc Mpk Moyon

New Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
4
Reaction score
1
habar zenu wakuu,mm n mwanafunzi wa chuo kikuu(udsm) naomba ushauri ninaweza kuanzishia biashara gan sababu familia yng ina hali mbaya na kuna wadg zng wananitazama mm hvy bumu pekee haltosh.naombeni msaada wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…