huwa maranyingi wanakuwa wazuri sana manake wameishapambana na ugumu wa maisha, pia hujituma sana kumbuka huyo ni mtu mzima hvyo unashauriwa kuishi nae kiutu uzima kama ni mkali mwambie tu kwa ukalimu akikosea na akizoea muache ajipangia ratiba ya kazi zake. Mara nyingi hawapendi kuingiliwa. Si unajua baadhi ya akinamama waajiri nikero mtu anaosha vyombo anaambiwa acha kwanza muoshe mtoto anatalala, anadeki unamwambia kwanini usingefua nguo za mtoto kwanza? Haipendezi namna hyo mtoto anaweza kuvumilia lkn mkubwa atadai kuondoka. Ila baadhi yao pia ni wakorofi na huwa na dharau.Ni hayo tu.