Kwa mlio oa / kuolewa badilisha lifestyle ya kuishi na marafiki

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Kwa mlio oa / kuolewa , weka mipaka ya marafiki kuizoea nyumba yako , inatosha kukutana viwanja na marafiki sio kuweka vijiwe vya soga nyumbani kwako . Kuna aina ya lifestyle unatakiwa kuibadilisha ukishaingia kwenye maisha ya ndoa
 
Tuko na washikaji tunacheza soccer kumbe wanamtongoza mama wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…