Nachojua wengi waliofeli ndio huwa wanakimbilia Uganda. Kijana wako alifeli?Naombeni kwa anayejua au aliyesoma Uganda anisaidie jinsi ya kupata shule a level,au hata kama anaweza kunikonekti na mtu anayeweza nisaidia,NAOMBENI MSAADA HUYU KIJANA AKASOME
Hapana ana 3 ya 23Nachojua wengi waliofeli ndio huwa wanakimbilia Uganda. Kijana wako alifeli?
Tatizo si uchache wa shule.Tanzania mbona shule ziko nyingi!!
Hapana ana 3 ya 23
So umejiudhi kukuta mambo ya kusoma Ug? Ulitaka ukutane na ajira kwa walio soma? Umekurupa mkuu ni kwa walio soma,wanaofahamu##Basi mie nafungua thread nijue kuna swali gani hilo wanaloulizwa waliosoma tu, nijue kipimo cha usomi ni nini.
Kufungua naona mtu anataka ushauri kuhusu kusoma Uganda!
Thank you!Hapo theoretically amefaulu ila practically amefeli. Ngoja waje waliosoma uganda
Nachojua wengi waliofeli ndio huwa wanakimbilia Uganda. Kijana wako alifeli?
Mdogo wangu wa kike anaingia form2 hukohuko..nipe tyme nije nimpeleleze kama yuko aware kidogo
Thank you mkuu! Am waitingMdogo wangu wa kike anaingia form2 hukohuko..nipe tyme nije nimpeleleze kama yuko aware kidogo
So umejiudhi kukuta mambo ya kusoma Ug? Ulitaka ukutane na ajira kwa walio soma? Umekurupa mkuu ni kwa walio soma,wanaofahamu##
Nataka mchango kwa matair_ walio soma shule za ma_aira kama wewe.Kujiudhi ni oxymoron, and I don't do those.
Umekosa somo hapa la kujieleza vizuri na kuoanisha kichwa cha habari na habari.
Umekosa somo hapa kwamba kusoma shule Uganda na kusoma ni vitu viwili tofauti.
Unayekurupuka weye unayeongelea ajira kwa waliosoma bila kujua tofauti ya kusoma na kusoma shule Uganda.
Mpaka sasa hujaeleweka unataka mchango wa waliosoma au waliosoma shule Uganda?