king online
Member
- Mar 30, 2018
- 34
- 17
Dah bandugu n kwel mafanikio sio kwa kila mmoja ila inapofikia hadi mlo ukawa mgumu sasa hapo ni bora kufika china au popote nipate hela ya kujikim natanguliza shukran ndg zangu hebu nisaidien kwa hili mambo yanaachia kwa muda huo huo yanabana mpk sasa nikivuta pumzi nahisi maumivu kwa majanga ninayopitia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app