Kwa mliofika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma, unatoa asimia ngapi kwa ubunifu katika uchoraji ramani za majengo (archtecture designs)?

Kusema majengo hayana mvuto ni kama mabox tu. Hayavutii na hayana ubunifu wowote. Ukilinganisha na New Cairo utaona sisi weusi tuna shida kubwa sana ya kufikiri. Ni kama wamejenga concrete jungles blocks za ex communist countries. Naweza kusema mji wa Mtumba ni lost opportunity ya sisi kuonesha uwezo wetu wa kupanga na kufikiri sawa sawa
 
Nawauliza wadau wa JF mliofika Mji wa Serikali Mumbai, mnatoa maksi ngapi? Jengo lipi mchoraji amefunika?
Kama ni Mumbai ungeweka picha za hayo majengo la sivyo hatuwezi kuamini kama hata wewe umewahi kufika Mumbai penyewe
 
Kusema majengo hayana mvuto ni kama mabox tu. Hayavutii na hayana ubunifu wowote. Ukilinganisha na New Cairo utaona sisi weusi tuna shida kubwa sana ya kufikiri. Ni kama wamejenga concrete jungles blocks za ex communist countries. Naweza kusema mji wa Mtumba ni lost opportunity ya sisi kuonesha uwezo wetu wa kupanga na kufikiri sawa sawa
upo kwenye field gani mkuu, tuone umefanya kipi cha ajabu kwenye field!
 
Back
Top Bottom