Kwa mliomsoma Immaculée Ilibagiza

Kwa mliomsoma Immaculée Ilibagiza

The Inquisitive

Senior Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
177
Reaction score
29
Majuzi nimesoma kidogo habari za huyu mwandishi wa vitabu. Ni mwanamke Mnyarwanda ambaye alipata mikasa mikubwa wakati wa genocide. Ameandika vitabu vitatu kuelezea maisha yake katika kipindi hicho.

Kwa mliovisoma vitabu vyake, what is your experience? Can you recommend her books?
 
Mi nadhani ingekuwa vyema kama ungevitaja hivyo vitabu.
ahsate

Mkuu,

Vitabu vyake ni


  • Left to Tell: Discovering God Amidst the Rwandan Holocaust (2006)

  • Led by Faith: Rising from the Ashes of the Rwandan Genocide (2008)

  • Our Lady of Kibeho: Mary Speaks to the World from the Heart of Africa (2008)
Hicho cha kwanza ndio maarufu zaidi.

I hope titles zitasaidia kukumbuka kwa waliovisoma.
 
Back
Top Bottom