yule wa fomu sixi ilikuwaje??
kwani kumaliza chuo ndio kufa?
Eti wadau,kwa wale ambao mlikua na ma galfrds/boyfrds wakati mko vyuo vikuu,ivi baada ya kumaliza vyuo then kila mtu akawa mkoan kwao maisha yalikuaje,maana najua wengne hata ile jero ya kununua vocha umpigie swthat wako ilikua shida kuipata!sa jaman,naombeni mnipe challenges mlizozipata kwa wkt huo ili nami kipindi hiki ninachoenda kumalzia my last semister,niwe aware na nin kitakacho nikumba huko mbeleni.over
habarini za asubuhi waungwana.
Mapenzi mengie huendelea hadi kuoana ,mengine huishia,kama mimi na Eliza wa T,toka form srii tuko bennet mpaka leo tuna vijukuu.