Bill Lugano
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,189
- 6,450
Tunapoendelea na msiba huu hasa leo tunapofanya rasmi maziko. Nikitoka huku ntakuwepo Mwanza kwa siku Mbili tatu. Mpaka Jumatatu ntaondoka na ndege. Sikuja na gari Binafsi.
Nataka kujua kuna Car Rentals wenye Magari hapa Mwanza? Naweza pata RR ,BMW,Mercedes Benz,Jeep au VW ya kuanzia mwaka 2018 kuja juu?
Isiwe imetembea kms zaidi ya 50,000 isiwe imewahi pata ajali,isiwe na tatizo lolote. Iwe so neaty. Nataka nitumie kwa siku chache hizi ntakazokuwepo Mwanza.
Pia ntapenda kukodi watu wanne ambao wana uwezo wa kuzungumza Kiingereza,Kifaransa,Kijerumani na Kichina. Hawa watu wawe wawili wakike na wawili wa kiume.
Kwa siku tatu hizi kila siku ntamlipa kila mmoja tsh 500,000 wanipe tu Kampani. Chakula na malazi ni juu yangu. Nataka hawa wanioneshe Mwanza yote niangalie fursa mbalimbali hapa Jijini angalau tufanye kitu flani kusaidia watanzania.
Nataka wawe wanafahamu lugha hizo ili wakati flani tukichoka kutumia lugha moja tunabadili kwenda nyingine katika maongezi.
Ntahitaji pia kupata mdada ambaye atakaa nami kwenye gari mbele. Awe na angalau degree toka chuo kinachotambulika kimataifa. Awe amesomea Business Adm, Public Relation, Economics au Psychology. Na GPA yake isishuke 3.5
Huyu tutampima kwanza magonjwa yote ikionekana yupo ok yeye ntamlipa tsh 1,500,000 kwa kukaa tu mbele kwenye gari na kuwa anatabasamu na kunisemesha mara chache chache. Afahamu lugha za Kimataifa zisizo pungua 3.
Msinione kama nabagua watu ambao hawana Elimu kubwa au ambao hawana uelewa. No. Napenda kujichanganya na watu wote. Ila huwa natenga. Kwa siku sitakiwi kukaa na Kilaza kwa zaidi ya saa moja.
Na pia siruhusiwi kabisa kukaa na mtu mpumbavu. Sababu Upumbavu huwa Unaambukiza. Ndo maana napenda kwanza watu ambao ntakuwa nao karibu kwa zaidi ya saa moja wafanyiwe interviews.
Si lazima wawe na vyeti vikubwa. Nina jamaa ambaye anapima IQ hata ya mtu ambaye hajaenda Shule. Akili haitegemei sana vyeti. Sema kwenye mambo kadhaa napenda kuwa na wabobezi
Pia naomba mnipe list ya sehemu Classic za starehe Kanda ya Ziwa. Zile ambazo ni executive. Hazina fujo na walevi. Sehemu ambazo tunakaa tunaongea mambo makubwa ya kujenga na si majungu ya Beyonce anatoka na nani au Rihanna sijui kafanyeje.
Hata unapo enjoy kitu fanya pia kwa faida.ndo maana watu smart huwa hawalewi.they drink to enjoy not to be drunk. Maskini tu ndo hulewa ili wasahau shida zao. Mimi sina shida za kusahau so sihitaji kulewa.
I only have good memories and i dont need to forget them. Unajua maisha yakiwa mazuri unakuta mtu amelala anatabasamu,uso umerelax kabisa.
Muda haurudi nyuma hakikisha kila muda unaotumia unatumia kwa faida. Unaweza changanya Pleasure with Business but never mix Business with Pleasure.