kwa mliosoma BBA HRM

g4cool

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
429
Reaction score
206
Habari zenu wapendwa, mimi ni kijana mwenzenu, kutokana na changamoto mbali mbali za maisha nimekuwa nikisoma kwa kuunga unga flani, na nimefanikiwa kiasi, kwan kwa sasa ninachukua degree ya bussiness administration with human resource management OPEN UNIVERSITY so please naomba kama kuna mtu mwenye material ya cozi hiyo kwa njia ya video (video tutorial) anisaidie ili niendeleze kupiga msuli, thanx
 
yeah nimeona baadhi bt kama mtu anazo ni rahisi zaidi, namrudishia pesa ya dvd aliyoburn na gharama za kuisafirisha, si unajua internet zetu tena??
 

Hongera mkuu jitahidi utapata tuu material
 

Nimependa juhudi zako uko mkoa gani nikupatie notes zote za BBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…