Kwa mliowahi na mnaotumia mafuta ya castor oil

Kwa mliowahi na mnaotumia mafuta ya castor oil

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Hellow
Kwa mnaotumia mafuta ya castor oil kwa nywele naomba mnijuze je ni kweli yanakuza nywele kama yanavoongelewa?na yapi yanafaa kati ya yale meusi yalotengenezwa kiasil na haya mengine yanayopatikana hata katika pharmacy!
 
Ndio mafuta yangu hayo, yanarefusha nywele, zinajaa, zinakua laini, hutaona mba kichwani, natumia yale meusi ya asili (japo harufu yake ni changamoto) sichanganyi na mafuta yoyote.
 
Nlikua natumia kwa binti yangu na blend na coconut oil mazuri sana kwa kweli hususan ukipaka unapomaliza kuosha nywele alafu unazikausha kwa taula alafu unapakaa kama leave in conditioner nywele zikauka zinakua na moisture ata ukichana zinachanika vizuri
 
Ndio mafuta yangu hayo, yanarefusha nywele, zinajaa, zinakua laini, hutaona mba kichwani, natumia yale meusi ya asili (japo harufu yake ni changamoto) sichanganyi na mafuta yoyote.
Nayapataje na gharama zake zikoje?
 
Back
Top Bottom