Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Ya nazi yawe mengi, ratio ya 1:2Unachanganya kwa uwiano sawa au mengine yanazidi?
Nayapataje na gharama zake zikoje?Ndio mafuta yangu hayo, yanarefusha nywele, zinajaa, zinakua laini, hutaona mba kichwani, natumia yale meusi ya asili (japo harufu yake ni changamoto) sichanganyi na mafuta yoyote.
Em nambie niyapate vipiNi mafuta mazuri nayapenda mno nywele zangu nzuri mno alafu zinakuwa hatari
Nenda madukaniEm nambie niyapate vipi
Nenda K.koo, kwenye maduka ya asili pale wanauza kuanzia elfu 4.Nayapataje na gharama zake zikoje?
Nenda K.koo, kwenye maduka ya asili pale wanauza kuanzia elfu 4.
Ni pale nje ya soko la K.Koo?Nenda K.koo, kwenye maduka ya asili pale wanauza kuanzia elfu 4.
Naam.... pale pale....Ni pale nje ya soko la K.Koo?
Oooh asante sana kipenziNaam.... pale pale....
yo welcome dear.
maduka gani ? ya spear za magari auNenda madukani
Maduka yako Nyamwezi na Mkunguni StreetNi pale nje ya soko la K.Koo?
Asante Sibo!Maduka yako Nyamwezi na Mkunguni Street