Sijawahi na mie ni mwoga balaa kuna siku nilikuwa na mke Wa Mwalimu mkuu na mkewe akataka tukaendeleze game nyumbani kwake aliniganda hadi saa Sita usiku alidai mumewe kasafiri. Bahati mbaya huyo bwana ni rafiki yangu na huwa tuna lewa wote. Nilimwambia Yule nwanamke atangulie haijapita nusu saa huku natafakari niende au nisiende mara mumewe anagonga mlango Wa mbele. Just imagine ningekuwa ndani si ingekuwa balaa.