Kwa mnao maliza chuo mwaka huu

mareeTZ

Senior Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
171
Reaction score
179
kama wewe ni mpenzi wa kusoma vitabu tafadhali tafuta sana kitabu cha (robert kiyosaki-rich dad poor dad) kitakuwa msaada sana hasa kwa wale wanaowaza kujiajiri. kitakupa mbinu za kufanya uweze kuwa na upeo mkubwa wa kutafuta na kupata pesa pia kitakufanya uondokane na utumwa wa kufikiria ajira.
 
andika jina la kitabu mbele yake mtunzi ikiambatana na neno pdf zitakuja links za kukidownload
 
tuma email yako kwa pm nikutumie ninacho soft copy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…