Kwa mnaoifahamu kahama hasahasa migodini muongozo unahitajika

sononaaa

Member
Joined
Jun 22, 2025
Posts
21
Reaction score
77
Niko njiani kuanza safari kuelekea Kahama baada ya kukosa muelekeo na mtaji nilionao ni nauli tu.
 
Wanapiga sana ramli uko machimboni manyoka hawazami ndichi bila ya miongozo ya waganga ukienda kindez mganga akiwaambia uyu jamaliekuja na nauli tu ananyota kali sana mkitoa tu mgodi unatema jiwe la tani nane ya lidhahabu apo ndo mjomba wetu unaenda na maji
 
Siku zangu za kutokuwepo Dunian zitakuwa zimefika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…