Hasson Da Melles
Member
- Aug 11, 2012
- 76
- 3
Jiandae kwenda MALIMBE-MWANZA, karibu sana Mkuu tulijenge Jiji la Mungu!kwenye Profile yangu imeandikwa
Admitted in Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania
je Itakuwa Na Mwanza Au Matawi yao Mengine???
kwenye Profile yangu imeandikwa
Admitted in Bachelor of Arts in
Public Relations and Marketing at
St. Augustine University of
Tanzania
je Itakuwa Na Mwanza Au Matawi yao Mengine???
Nenda kwenye list ya selected applicants, kama admission yako ina neno 'MC', i.e, Malimbe Centre or Main Campus.
Jaman eti bukoba kuna st.augustine pia? Na ni maeneo gan msaada wakubwaa
Karibu Malimbe - Mwanza main campus!
mbona sasa kwenye List yao ya Aelected Applicants main Campus sipo!!!??
mmmmm kaka kwenye Listi ya MC Wala Sipo asee Sa sijui itakua ni wapi???
Wakuu mbona saut bukoba hawajatoa list?? Alafu main compus wametoa list ya mwanza tu kwingne hawajatoa Ktkt program ya BAED
kabla ya yote ingia http://www.saut.ac.tz
kaka SAUT joining instruction imeeleza kila kitu...
kuna CoZ ambazo wao mpaka ureport ndio wanakupangia Mkoa...
coz hizo ni B.aDminstration...Law.....educatiob na sociogy tuuu ...
unaweza tupiwa Main mwanza Tabora songea na Bukoba na hata Lindi...
au Piga SAUT namba zipo kwenye hiyo link nilomiyokutumia!!!!!!
yaaah kuna Branch yao ila sijui ni maeneo yapi???
So kwa hiyo inatakiwa kwenda kureport bukoba centre au main compus mwanza? Kwa sababu sijajiona kwenye list ya main compus mwanza na bukoba centre bado hawajatoa list wakubwa