Hapohapo nami nina swali waungwana, wakati naajiriwa nilijiunga na mfuko wa pensheni na kadi nninayo wa pspf, sasa baada ya kupata salary slip nimeshangaa kukuta nakatwa nssf, nimeshaandika barua kuomba niondolewe huko lakini naona bado, je nichukue uamuzi gani na je huko nssf wananitambuaje na wanakata Mara 2 ya pspf jee, pesa inayozidi nitarudishiwa kama inavyostahili, msaada wadau