Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Kwa mnaomfahamu Dida, amefanya surgery huu uso au ndio huwa yupo hivi?

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
70,916
Reaction score
141,437
Katika pita pita huku mtandaoni nikakutana tu na picha zake nikawa nashangaa kama vile kavaa helmet ila sio....nywele zimekutana na nyusi....
Screenshot_20231019-132229.png


Screenshot_20231019-132320.png

Screenshot_20231019-132344.png


Kikomwe chake kimeenda wapi sasa na kwenye harusi kilikuwepo. Anyway ana kipaji cha kuchamba watu.....
 
Mungu hakupi vyote! Dida kabarikiwa kipato ila kipaji cha kujua avae nini au nywele gani ya kumpendeza ndio kanyimwa.

Huyu katika ulimwengu wa fashion tumpe msamaha, ni kumuonea tu kumuongelea.
 
Back
Top Bottom