Kwa mnaosema Mwakinyo ana dharau na kejeli, pitieni interview hii ya Mike Tyson mtajifunza kitu kuhusu Boxing

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
Baada ya kumshinda Lou Savarese kwa TKO sekunde ya 38 huko Scotland alitoa dongo hili zidi ya mpinzani wake Lennox
Lewis:

I'm the best ever. I’m the most brutal and most vicious and most ruthless champion there’s ever been. There’s no-one can stop me. I’m Alexander, he’s no Alexander. I’m the best ever. There’s never been anybody as ruthless. I’m Sonny Liston. I’m Jack Dempsey. There’s no one like me — I’m from their cloth. There’s no one that can match me. My style is impetuous. My defense is impregnable, and I’m just
ferocious. I want your heart. I want to eat his children. Praise be to Allah!


Msamaria mwema atafsiri kwa niaba.
 
Kwenye boxing maneno nayo yanalipa ndio kujibrand kwenyewe huko. Unafiki Mwakinyo angekua mkimya pambano lake na Kiduku kama litatokea mapromota ndio wangekua wanakazi ya kupiga promo. Ila kwa sasa kashalipigia promo na anaweza kutaja dau analotaka yeye ili apande ulingoni.
 
Kwa mimi nadhan mwakinyo anamuogopa sana.. Twaha kiduku.. Ila anachoogopa zaid ni kupoteza title mapema.. Mnoo. Ila tu uwezo wa twaha ni unstopable.. . Show show... Ezy...
 
Anayesema Mwakinyo anadharau sababu ya maneno basi hamjui Mada Maugo...kifupi kwenye boxing maneno ni kawaida sana...ndo Promo zenyewe hizo
 
Yaani mtu akizungumzia jambo alilosema Mtu mwingine tayari ni Udini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…