Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji.
Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?