watu wanasifia kahama in terms of business, lakini ki miundo mbinu ni pabovu sanaNipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji.
Watu wanalima ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
NakaziaPicha tuone sasa,
Hakuna kitu kule ni kamji ka hovyo kama Gulio la mifugo 😆😆Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii?
Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu.
Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji.
Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
?Manispaa
Hata geita nako ni hovyo japo tunaambiwa inaongoza kwa kutema dhahabuCCM ndio CHANZO CHA MATATIZO.
Huo mji licha ya kuingiza mabilioni Kila mwezi imeshindwa kupatengeneza pafanane kidogo na dhahabu inayotoka hapo
watu wanasifia kahama in terms of business, lakini ki miundo mbinu ni pabovu sana
barabara zake zote mbovu