Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Ila wao nahisi wanapendelea hii zaidi😁😁kukuchanganya ukiwa umetulia
Hatari!Ila wao nahisi wanapendelea hii zaidi😁😁
Hii style siku hizi siipendi...
Hivi viumbe sijui vipoje khaaa 🥺 😅Mwanamke ana kazi mbili mnapoanza naye maisha ya ndoa, nazo ni;
...Kukutuliza ukiwa umechanganyikiwa na kukuchanganya ukiwa umetulia.
Asante.
umemaliza kila kila, FULL STOPMwanamke ana kazi mbili mnapoanza naye maisha ya ndoa, nazo ni;
...Kukutuliza ukiwa umechanganyikiwa na kukuchanganya ukiwa umetulia.
Asante.
Mtuzoee tu hivo hivoHivi viumbe sijui vipoje khaaa 🥺 😅
This why we shake before useMtuzoee tu hivo hivo
Sisi ni mapambo ya dunia mjue 🤭
Sasa msi-shake sana matokeo ndo hayo hapo.This why we shake before use