Kwa mnaotukana kuhusu uopoaji wa maiti ya mama Mkenya na mwanae pale Likoni mnafaa muyafahamu haya

Unachekesha sana, hivi kenya jeshi lenu halina wana-maji, na kama mnao je, hawana vifaa..? Nyambizi huwa zinapita chini ya maji mnawezaje muwe na nyamizi zisizo na vifaa sisi mwanza ferry ili binuliwa na vifaa vyetu vya kijeshi faster.

Utakua umedandia bila kusoma nilichokiandika, unaonekana huna hata habari nini kinazungumzwa kuhusu. Ukanda wote huu hamna jeshi la wana maji lenye uwezo zaidi ya wetu.
 
Utakua umedandia bila kusoma nilichokiandika, unaonekana huna hata habari nini kinazungumzwa kuhusu. Ukanda wote huu hamna jeshi la wana maji lenye uwezo zaidi ya wetu.
Mwenye hekima akivuliwa nguo huchuchumaa,hakimbizani.

Jeshi lenya askari wasioona 0 visibility,jeshi lisilo na divers wa emergence,jeshi linalobabaika 60 metre deep[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38].

Mko na wababaishaji fulani desìgn ya dj shit wanaovaa combat.
 
Japo pia maswali yanafaa yapate majibu ili kubaini uzembe uliosababisha huo mkasa.
Unajikanganya!
Unalaumu watanzania,halafu mwisho unakiri kuna uzembe
Hata kama kwa mv nyerere wangeachwa wote wafe,haihalalishi uzembe wenu wa kuopoa ki toyota passo kwa kutumia 14 days
Nasikia eti ndugu wa marehemu walitakiwa walipe?mikenya mikatili sana
 
Ndio ni kweli kabisa Kenya navy ndio jeshi imara zaidi ukanda huu kwa mujibu wa takwimu za mdomoni

Lakini kiukweli Kenya wapo hovyo saana mfano ni hili tukio LIMETHIBITISHA UKWELI
Utakua umedandia bila kusoma nilichokiandika, unaonekana huna hata habari nini kinazungumzwa kuhusu. Ukanda wote huu hamna jeshi la wana maji lenye uwezo zaidi ya wetu.
 

Nchi karibu zote za Afrika ziko dhaifu sana ktk kupambana NA majanga au ajali za kwenye maji, suala Hili lipo wazi NA Ni ukweli mchungu.Hakuna vituo madhubuti vya dharula za kupambana NA ajali za ghafla.Lakini Ni ukweli mchungu pia kuwa kwenye ajali hii ya kuzama hilo gari ktk feri ya Likoni, Kenya imeonyesha uzembe mkubwa zaidi.Uzembe mkubwa sana ulifanyika ktk kuokoa uhai WA yule mama NA mwanaye, kulikuwa NA muda WA kutosha tu WA kuweza kuokoa uhai wao kwani ile gari haikuzama ghafla tu Mara moja kama nanga

Wahusika WA kitengo cha uokozi kwenye hiyo feri wanatakiwa kuwajibishwa bila kuwaonea huruma kutokana na uzembe mkubwa waliofanya kwenye tukio hilo.
 

Hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia 100% kwa kweli udhaifu mkubwa ulidhihirishwa kwenye uokoaji, maana kivuko hakifai kusafirisha abiria bila kuwepo na waokoaji humo, ni upumbavu wa hali ya juu na naomba sana wahusika wawajibishwe.
Kile sikubaliani na nyie Watanzania ni pale mnachekelea kisa juhudi za uopoaji wa maiti zilichukua muda mrefu, kwa mazingira yaliyokuwepo na uhalsia nilioueleza kwenye huu uzi, mtu mwenye ubongo atapata uelewa, na pia Watanzania wanafaa kuwa wa mwisho sana kwenye kuchekelea, maana kwao watu waliachwa wazame na kufa kisa hamna taa za usiku.
 
Nyie si mlituletea takwimu humu mnaongoza kwa uokoaji na kupambana na majanga Africa na blah blah kibao.

Leo mnakuja kujibaraguza na Tz ambayo haipo hata kwenye orodha yenu uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…