Kwa morogoro,mpanda,sumbawanga Tu

Kwa morogoro,mpanda,sumbawanga Tu

Wakuu habarini.
Mwaka huu niliingiza gari (hiace) ipo mkoa wa geita na inafanya route ya katoro -geita

Changamoto ni nyingi mno aisee ni mno.
. traffic point 3 sometimes hadi 5
.Uhaba wa abiria

Kwa sasa nimefika maamuzi ya kutafuta njia katika mikoa mitatu moro,mpanda na sumbawanga .


Najua jf haijawahi kushindwa .
Wenyeji na wazoefu + madereva wa mikoa husika nipatieni njia bora nifanye kazi.



Sent using Jamii Forums mobile app
Samahani mkuu Mimi sio dereva ila morogoro route ya kwenda matombo naiona ni nzuri watu wamewekeza sana njia hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom