Wakuu habarini.
Mwaka huu niliingiza gari (hiace) ipo mkoa wa geita na inafanya route ya katoro -geita
Changamoto ni nyingi mno aisee ni mno.
. traffic point 3 sometimes hadi 5
.Uhaba wa abiria
Kwa sasa nimefika maamuzi ya kutafuta njia katika mikoa mitatu moro,mpanda na sumbawanga .
Najua jf haijawahi kushindwa .
Wenyeji na wazoefu + madereva wa mikoa husika nipatieni njia bora nifanye kazi.
Sent using
Jamii Forums mobile app