Kwa Mpira Wa Mdomoni Tuko Vizuri Sana

Kwa Mpira Wa Mdomoni Tuko Vizuri Sana

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Kila inapokuja big mechi dhidi ya timu yetu ya taifa au vilabu kawaida hapa tanzania yamekua yakitangulia maneno mengi ya kujiamini kiasi kuweka taswira nzima ya ushindi...jambo ambalo huwa tofauti sana na matokeo ya mwisho

Jamani hebu wote tutulize vichwa na kufikiri njia bora ya kuinua kiwango cha soka letu..tupaze sauti zisikike humuhumu kwenye vyombo vya habari...sauti zitasikika kulikoni huu usimba na uyanga...na mawazo ya kutokuona mbali tuache

Kirahisi tu tunapanga kwenda kupindua meza kwenye nchi za kigeni wakati kwetu tumeshindwa...mbaya sana.
 
Umesahau wale wa hata akija Barcelona au Bayern anapigwa kwa Mkapa. Matokeo yake kaja Usongo au UD Songo. The rest is history.
 
Kila inapokuja big mechi dhidi ya timu yetu ya taifa au vilabu kawaida hapa tanzania yamekua yakitangulia maneno mengi ya kujiamini kiasi kuweka taswira nzima ya ushindi...jambo ambalo huwa tofauti sana na matokeo ya mwisho

Jamani hebu wote tutulize vichwa na kufikiri njia bora ya kuinua kiwango cha soka letu..tupaze sauti zisikike humuhumu kwenye vyombo vya habari...sauti zitasikika kulikoni huu usimba na uyanga...na mawazo ya kutokuona mbali tuache

Kirahisi tu tunapanga kwenda kupindua meza kwenye nchi za kigeni wakati kwetu tumeshindwa...mbaya sana.

Mpira wa mdomoni walianza mbumbumbu na kauli zao.........

.........."Mikia hii isipofika nusu fainali nitupwe baharini niliwe na tembo"
 
Tukiacha siasa mambo mengine yata jiset yenyewe tu..
 
Nikikumbuka Manara alivyokuwa anawalisha sumu Mikia mpaka ikafikia kipindi wakawa hawaongei tena Kiswahili
 
Back
Top Bottom