ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Umesahau wale wa hata akija Barcelona au Bayern anapigwa kwa Mkapa. Matokeo yake kaja Usongo au UD Songo. The rest is history.Kila inapokuja big mechi dhidi ya timu yetu ya taifa au vilabu kawaida hapa tanzania yamekua yakitangulia maneno mengi ya kujiamini kiasi kuweka taswira nzima ya ushindi...jambo ambalo huwa tofauti sana na matokeo ya mwisho
Jamani hebu wote tutulize vichwa na kufikiri njia bora ya kuinua kiwango cha soka letu..tupaze sauti zisikike humuhumu kwenye vyombo vya habari...sauti zitasikika kulikoni huu usimba na uyanga...na mawazo ya kutokuona mbali tuache
Kirahisi tu tunapanga kwenda kupindua meza kwenye nchi za kigeni wakati kwetu tumeshindwa...mbaya sana.
Kila inapokuja big mechi dhidi ya timu yetu ya taifa au vilabu kawaida hapa tanzania yamekua yakitangulia maneno mengi ya kujiamini kiasi kuweka taswira nzima ya ushindi...jambo ambalo huwa tofauti sana na matokeo ya mwisho