Tafadhali naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa kufanya maombi TCU kama nikienda makao makuu? Maana nimefanya maombi HESLB lakini nilishindwa kufanya maombi ya TCU kutokana na kuchelewa na vocha kuwa na matatizo ktk upatikanaji huku mkoani. Tafadhali mwenye kujua anijuze tafadhali!