true friend
Member
- Aug 4, 2012
- 6
- 0
Hautaki mwenye kazi au nimeelewa vibaya???
Atueleweshe....maana wengi tupo juu ya mawe........hakuna anayetuangalia.......
Tatizo la hawa wachumba wanatangaza matangazo hapa wanasepa....
afu wanarudi kulalamika hatupo sirias!!!!!!!!!!
mi nahitaji ndoa nitakesha hapa leo.