kwa msichana anayehitaji kuingia kwenye ndoa soma hapa ( only serious girl)

kwa msichana anayehitaji kuingia kwenye ndoa soma hapa ( only serious girl)

nataka kuoa

New Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Hii ni serious issue kwa serious girls wanaohitaji kuingia kwenye ndoa tu. Kama haikuhusu huna haja hata ya kukomenti. Mimi ni kijana wa kiume ninayeelekea umri wa miaka 28, hivyo nimeamua kuweka post yangu hapa jf kwa lengo la kutafuta mwenza wa maisha (msichana) kwa ajili ya urafiki utakaoishia kwenye ndoa baada ya kuchunguzana na kuridhiana. Nipo serious kwani sitaki tena maisha ya ubachela. Nahitaji msichana jasiri, anayejiamini na mwenye nia ya dhati kuingia kwenye maisha mapya ya ndoa. Kwa wale wanaotaka kujaribu au wanaofanya mzaha tafadhari kaeni kando kwani sipendi kupotezeana muda.

WASIFU WANGU
umri: miaka 28 kasoro
dini: mkristo
kabila: mundali wa mbeya
Kazi: nitakueleza baada ya kuwasiliana
mwonekano: mweusi kiasi, sio mrefu sana wala sio mfupi sana, mwembamba
mahusiano: nipo singo, sina mtoto wala sijawahi kuoa
SITUMII POMBE WALA SIGARA

WASIFU WA MLENGWA
umri: asizidi miaka 25
Mwonekano: mweupe au maji ya kunde, asiwe mrefu sana au mfupi sana, asiwe mnene sana
uhusiano: asiwe na mtoto, awe singo na hajawahi kuolewa
ASITUMIE POMBE WALA SIGARA

AWE TAYARI KUISHI MKOA WOWOTE TANZANIA

MAWASILIANO YANGU; EMAIL sitakiubachela@yahoo.com simu 0656380928 au 0752539979
 
Umejielezea vizur ukaeleweka, nakutakia kila la heri
 
Back
Top Bottom