Nipo nyanda za Juu kusini (southern Highlands), nahitaji kulima mali mbichi kwa umwagiliaji wa drip mara baada ya msimu wa kuvuna mahindi ambayo yapo shambani kwa sasa.
Naomba ushauri nipige zao gani la drip msimu wa kiangazi. Ila usiniambie nyanya wala tikiti maana sitalima hata kwa bunduki. hazina bei kiangazi.