Wewe hujanielewa vizuri ndugu. Nyanya ondoa kwenye listi.Nyanya,hoho,karoti,kabechi,mahindi yote sawa.Karoti januari hufika mpaka 50 kwa kiroba maana huadimika sana.Kuna miaka kitunguu kimoja huwa tunanua hadi 200 uila siku hizi mhii.
Nyanya nazozingumzia mimi sio hizo unazofikiria, nyanya zinazotoka kuanzia wa kumi na mbili mpaka wa 3.Kiangazi gani unachozungumzia wewe au kiangazi ni mwezi wa 6 na 7 tu.Wewe hujanielewa vizuri ndugu. Nyanya ondoa kwenye listi.
Pia nimesema nalima mwezi wa 7 kwa hiyo mwezi septemba/octoba mzigo unakuwa umetoka shambani.
Ukilima nyanya mwezi wa 7 na kuvuna octoba utalishia ng'ombe.
Mazao ambayo sijafanya tafiti ya kubadilika bei zake ni hoho na karot