Kwa msuguri; Traffick wamesimama pembeni kila basi linalotoka Mbezi linasimama wanaweka 3000 kwenye karatasi hii ni aibu babisa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Hii ni zaidi ya hanta virus

Yaan niko kwenye basi tumepaki kama basi sita
Zinapeleka 3000@
Konda anashuka anamwambia dereva ngoja tupeleke 3000 zao

Anafika anakabidhi anaondoka bila aibu kabisa mnatupeleka wapi

Vipi sisi wa magari binafsi mnatuachaje ama ndio mwendo wa 30,000
 
Amuamini pelekeni watu AWANA uwogaa kabisa
 
Au nawapa dollar zilizopita miaka wanapokea wakienda kuchenji wanaambiwa hizi hazitumiki tena wanabaki na labda


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuna wengine hua nakunja tissue haina kitu nadondosha nachapa mwendo wakija kuokota wanakuta patupu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
ALISEMA "MUNGU" WA TANZANIA KUWA

1. Polisi wakiua wasishitakiwe
2. Elfu 5 ni za kubrashi viatu!
 
hela kupiga viatu burashi kama alivyosema mzee baba wao!
 
Mishahara haitoshi Mimi hata wasiponiomba huwa nasimama Kama Nina elfu 5 au 10 nawapa wajisaidie halingumu mshahara hautoshi
 
Kila pahala hyo mbona hyo inaitwa kununua njia... Usishangae ukaongozana na daladala unaona zinatanua tunila woga ndio mambo hayo...

Ila bora efu 3 kuliko efu 30..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaaaaa mPWAA HILI CHAKA LA KUTANUA SINA HAMU NILIFWATAA DALADALA SIKUMOJA ZIKAPITA NKAPIGWA MKONOO NKAULIZA LILIE BASI NI AMBULANCE...
 
Za kubrashia viatu baada ya abiria kuadimika kiasi cha kupelekea idadi ya mabasi ya mikoani kupungua.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…