Kaka horrace
Member
- Aug 2, 2018
- 21
- 4
Wana JF salamu.
Kuna suala hapa LA kisheria kidogo au hata kama sio mtaalamu wa sheria lakini una uzoefu nalo tunaomba mchango wako hapa.
swala.1
Katika sheria za kazi (especially) utumishi wa umma,ili mtumishi afikie hatua ya kusimamishwa kazi,ni lazima kuwe kumefanyika mambo gani mpaka kufikia uamuzi huo....I mean mpaka kumsimamisha kazi mtumishi kwa kosa lolote (halali au kwa uonevu) lazima amepitia kwanza hatua gani...!!
Sijui kama nimeeleweka.
swala.2
Scenario kama hii kama hukuridhika na yaliyofanyika inabidi uchukue hatua ndani ya muda gani,muda ukipita sana huwezi tena kulifufua jambo hilo kutafuta haki...?
Mapumziko mema!
God bless you.